Nenda kwa yaliyomo

Rostov juu ya Don

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Rostov-on-Don)
Rostov juu ya Don

Rostov juu ya Don (Kirusi: Ростов-на-Дону) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 1,068,267. Iko katika mkoa wa Rostov Oblast.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rostov juu ya Don kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.