Petro I wa Aleksandria
Mandhari
(Elekezwa kutoka Petro wa Aleksandria)
Petro I wa Aleksandria alikuwa Papa wa 17 wa Kanisa la Kikopti, aliyepambwa na maadili yote, ambaye ghafla, kwa amri ya kaisari Galerius, alikatwa kichwa kwa ajili ya imani ya Ukristo tarehe 25 Novemba 311[1].
Pamoja naye waliuawa maaskofu wenzake Esiki, Pakomi na Theodori (kwa upanga), mapadri Fausto, Dio na Amoni na wengine wengi. Ndio wahanga wa mwisho katika Mateso ya Wakristo chini ya Dola la Roma.
Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.[2]
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[3][4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/92837
- ↑ "St. Peter of Alexandria". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ http://catholicsaints.info/saint-peter-of-alexandria-25-november/
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- "Petros I (300–311)". Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-08.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Hieromartyr Peter the Archbishop of Alexandria Eastern Orthodox icon and synaxarion
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |