Paul Kagame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paul Kagame
Close up profile picture of Paul Kagame, seated at the 2009 World Economic Forum

Aliingia ofisini 
24 Machi 2000
Acting: 24 Machi 2000 – 22 Aprili 2000
Waziri Mkuu Bernard Makuza
Pierre Habumuremyi
mtangulizi Pasteur Bizimungu

tarehe ya kuzaliwa 23 Oktoba 1957 (1957-10-23) (umri 66)
Tambwe, Ruanda-Urundi
(sasa Nyarutovu, Rwanda)
chama Rwandan Patriotic Front
ndoa Jeannette Nyiramongi
watoto Ivan Cyomoro
Ange
Ian
Brian
dini Kanisa Katoliki

Paul Kagame (amezaliwa 23 Oktoba 1957) ni Rais aliyepo madarakani nchini Rwanda.

Ijapokuwa ni mmoja kati ya mwanajumuiya ya Watusi, ameonekana kuuanganisha Utusi wake. Huyu ndiye mhusika mkuu wa kuondosha Uhutu na Utusi na vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo (Mauaji ya kimbari ya Rwanda).

Hata hivyo, mara nyingi anatazamwa kama dikteta kwa kuwa na rekodi mbaya ya ukiukaji wa haki za binadamu.

Kagame ameweka kipaumbele katika maendeleo ya taifa, akilenga kufanya Rwanda isiwe tena kati ya nchi maskini kufikia mwaka 2020. Kweli nchi imepiga hatua kubwa katika masuala mengi, kama vile afya, teknolojia na elimu. Kati ya miaka 2004 na 2010 pato liliongezeka 8% kwa mwaka.

Uhusiano na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo si mzuri, hata baada ya vita kusimamishwa rasmi mwaka 2003; asasi za kutetea haki za binadamu zinadai Rwanda inaendelea kutegemeza makundi ya waasi ili kufaidika na maliasili ya nchi hiyo jirani, ingawa Kagame anakanusha.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Ofisi za Kisiasa
Alitanguliwa na
Augustin Bizimana
Waziri wa Ulinzi
1994–2000
Akafuatiwa na
Emmanuel Habyarimana
New office Makamu wa Rais wa Rwanda
1994–2000
Position abolished
Alitanguliwa na
Pasteur Bizimungu
Rais wa Rwanda
2000–sasa
Incumbent
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Kagame kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.