Orodha ya Marais wa Rwanda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Presidential Standard of Rwanda.svg
Rwanda
Coat of arms of Rwanda.svg

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
RwandaNchi zingine · Atlasi


Ukarasa huu una orodha ya Marais wa Rwanda.


Muda wa Utawala Mtawala Kabila Chama cha Kisiasa
Jamhuri ya Rwanda (Sehemu ya (Ruanda-Urundi)
28 Januari 1961 - 26 Oktoba 1961 Dominique Mbonyumutwa, Rais Hutu Parmehutu
26 Oktoba 1961 - 1 Julai 1962 Grégoire Kayibanda, Rais Hutu Parmehutu
Jamhuri ya Rwanda (Nchi Huru)
1 Julai 1962 - 5 Julai 1973 Grégoire Kayibanda Rais Hutu Parmehutu
5 Julai 1973 - 1 Agosti 1973 Juvénal Habyarimana, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani na Muungano wa Kitaifa Hutu Jeshi
1 Agosti 1973 - 6 Aprili 1994 Juvénal Habyarimana, Rais Jeshi / TNational Republican Movement for Democracy and Development (MRND)
8 Aprili 1994 - 19 Julai 1994 Theodore Sindikubwabo, Rais wa mpito Hutu National Republican Movement for Democracy and Development (MRND)
19 Julai 1994 - 23 Machi 2000 Pasteur Bizimungu, Rais Hutu Rwanda Patriotic Front (RPF)
24 Machi 2000 - Present Paul Kagame, Rais Hutu Rwanda Patriotic Front (RPF)

Angalia Pia[hariri | hariri chanzo]