Orodha ya Marais wa Urusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nembo rasmi ya Rais wa Shirikisho la Urusi

Ukarasa huu una orodha ya Marais wa Urusi au Shirikisho la Urusi (kwa Kirusi: Президент России) tangu mwaka 1991. Kabla ya hapo nchi ilikuwa na katiba tofauti ikiitwa Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi na hapo Kamati ya Kudumu ya Utendaji ya Sovyeti Kuu ilikuwa na nafasi inayolingana na uraisi; mara nyingi mwenyekiti wa kamati ya kuduma alitajwa kuwa kama "rais". Kabla ya mapinduzi ya 2017 mkuu wa dola alikuwa kaizari au tsar wa Urusi.

Marais[hariri | hariri chanzo]

Jina Picha Muda wa Utawala Chama
1 Boris Yeltsin Борис Николаевич Ельцин.jpg 10 Julai 1991 9 Agosti 1996 sio chama
(Supported by the Democratic Party of Russia)
9 Agosti 1996 5 Novemba 1996 sio chama
- Viktor Chernomyrdin
(wa mpito)
Viktor Chernomyrdin-1.jpg 5 Novemba 1996 6 Novemba 1996 Our Home – Russia
1 Boris Yeltsin Борис Николаевич Ельцин.jpg 6 Novemba 1996 31 Desemba 1999
(resigned)
sio chama
- Vladimir Putin
(wa mpito)
Putin with flag of Russia.jpg 31 Desemba 1999 7 Mei 2000 sio chama
2-4 Vladimir Putin 7 Mei 2000 7 Mei 2004
7 Mei 2004 7 Mei 2008
3 Dmitriy Medvedev Dmitry Medvedev official large photo -5.jpg 7 Mei 2008 sisa sio chama
(Supported by the United Russia)
2-4 Vladimir Putin Putin with flag of Russia.jpg 7 Mei 2012

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Ngome ya Kremlin ni ikulu ya maraisi mjini Moscow

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: