Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya visiwa vya Urusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kisiwa ya Urusi)
Sahalin
Novaya Zemlya (kiingereza)

Hii ni orodha ya visiwa vya Urusi vyenye eneo la zaidi ya km2 5.000.

# kisiwa Kirusi Eneo (km)2 Funguvisiwa Maeneo ya Urusi
1 Sahalin Сахалин 72.493 hakuna Sahalin Oblast
2 Severniy kisiwa Северный остров (Новая Земля) 47.079 Novaya Zemlya Arhangelsk Oblast
3 Yuzhniy kisiwa Южный остров (Новая Земля) 33.246 Novaya Zemlya Arhangelsk Oblast
4 Kotelniy Котельный 24.000 Siberia Mpya Yakutia
5 Mapinduzi ya Oktoba kisiwa Остров Октябрьской Революции 14.204 Severnaya Zemlya Krasnoyarsk Krai
6 Bolshevik Большевик 11.206 Severnaya Zemlya Krasnoyarsk Krai
7 Komsomolets Комсомолец 8.812 Severnaya Zemlya Krasnoyarsk Krai
8 Wrangel kisiwa Остров Врангеля 7.866 hakuna Okrug huru ya Chukotka
9 Mpya Siberia Новая Сибирь 6.201 Siberia Mpya Yakutia
10 Kubwa Lyahovskiy Большой Ляховский 5.135 Siberia Mpya Yakutia