Onyx

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Onyx
ChimbukoSouth Jamaica, Queens, New York
Miaka ya kazi1988–mpaka sasa
StudioJMJ, Def Jam
Koch
D3
Mad Money
Goon Musick
Ameshirikiana naDMX, Wu-Tang Clan All City, Dope D.O.D., Snowgoons, Biohazard, Insane Clown Posse
Wavutionyxdomain.com
Wanachama
Fredro Starr
Sticky Fingaz
Sonny Seeza
Big DS (marehemu)

Onyx ni kundi la hardcore hip hop kutoka eneo la South Jamaica katika Queens, New York, Marekani. Kundi linaunganishwa na marapa kutoka East Coast Sticky Fingaz na Fredro Starr. Sonny Seeza (zamani walikuwa wakijulikana kama Suavé na Sonsee) na hayati Big DS (Marlon Fletcher) nae vilevile alikuwa mwanachama; Big DS aliondoka baada ya kundi kutoa albamu yao ya kwanza. Miziki yao ilipata kutumika katika baadhi ya filamu kama vile How High na 8 Mile na vipindi vya TV kama vile The Cleveland Show na Tosh.0 vilevile matangazo ya biashara kama vile SoBe na Gatorade.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Kompilesheni albamu[hariri | hariri chanzo]

Ma-EP[hariri | hariri chanzo]

Against All Authorities (2015) Against All Authorities ni EP ya kundi la hip hop la Kimarekani Onyx ilitoletolewa mnamo tarehe 5 Mei, 2015 kupitia Mad Money Movement records.

Orodha ya nyimbo 1: Strike Bac (feat. SickFlo) 3:47 2: Against All Authorities 2:48 3: Look Like a Criminal (feat. Merkules) 4:02 4: Black Fatigue (feat. SickFlo) 3:34 5: Da Liquor Store (feat. Ras Kass, Jasia'n) 4:27 6: F**k Da Law 3:28

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Onyx Kigezo:Fredro Starr Kigezo:Sticky Fingaz