Cormega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cormega
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaCory McKay
ChimbukoNew York City, Marekani
Kazi yakeRapper, mtunzi wa nyimbo, mshairi
AlaSauti
Miaka ya kazi1989–hadi sasa
StudioAura/Legal Hustle
Wavutihttp://instagram.com/iamcormega

Cory McKay (anajulikana kwa jina la kisanii kama Cormega au Mega) ni rapa na mtunzi wa nyimbo kutoka mjini New York City huko nchini Marekani.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Cormega alizaliwa mjini Brooklyn, NY na kukulia katika maeneo mbalimbali ya mjini humo New York City, alijenga urafiki wa utotoni na marapa wa baadaye kama vile Nas, Nature, na Capone .[1][2] Maudhui mengi katika muziki wake yanahusu hasa marafiki na nduguze waliouawa kwa kufuatia machafuko au ukorofi katika maisha yao.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Faili:Cormega On Stage 2008.jpg
At Orono, Maine
Orono, Maine

Albamu[hariri | hariri chanzo]

List of studio albums, with selected chart positions
Jina Maelezo ya albamu Nafasi iliyoshika
US
[3]
US
R&B

[4]
US
Ind.

[5][6]
The Realness 111 24 4
The True Meaning
  • Imetolewa: June 11, 2002
  • Studio: Legal Hustle Records
  • Muundo: CD, LP, cassette, digital download
95 25 5
Born and Raised
  • Imetolwa: October 20, 2009
  • Studio: Aura Records
  • Muundo: CD, digital download
56
Mega Philosophy
  • Imetolewa: July 22, 2014
  • Label: Slimstyle Records
  • Muundo: CD, LP, cassette, digital download
30
"—" denotes a recording that did not chart or was not released in that territory.

Albamu za kompilesheni[hariri | hariri chanzo]

List of compilation albums, with selected chart positions
Jina Maelezo ya albamu Nafasi iliyoshika
US
[3]
US
R&B

[4]
US
Ind.

[5]
Legal Hustle 174 22 8
Raw Forever
  • Imetolewa: September 27, 2011
  • Studio: Aura Records
  • Muundo: CD, digital download
"—" ina-maanisha rekodi hiyo haijashika chati au kutolewa katika ukanda huo.

Vibao vyake[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Wimbo Chati Albamu
U.S. Rap
[7]
2000 "You Don't Want It" 41 The Realness
2001 "Get Out My Way"
2002 "Built for This" The True Meaning
"The Come Up" (featuring Large Professor)
2004 "Let It Go" (featuring M.O.P.) Legal Hustle
"Dangerous" (featuring Unda P. and Vybz Kartel)
2005 "One Love" The Testament
2007 "The Saga (The Remix)" (produced by Stanley O) Single Release
2009 "Dirty Game" Born and Raised
2016 "Guns And Butter" (feat. Gunplay)[8]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. CORMEGA BIOGRAPHY. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-24. Iliwekwa mnamo 9 March 2015.
  2. Cormega - Article. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-09-28. Iliwekwa mnamo 2016-07-19.
  3. 3.0 3.1 [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] Cormega – Chart History: Billboard 200]. Billboard. Prometheus Global Media. Iliwekwa mnamo January 2, 2015.
  4. 4.0 4.1 [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] Cormega – Chart History: Billboard R&B/Hip-Hop Albums]. Billboard. Prometheus Global Media. Iliwekwa mnamo January 2, 2015.
  5. 5.0 5.1 [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] Cormega – Chart History: Billboard Independent Albums]. Billboard. Prometheus Global Media. Iliwekwa mnamo January 2, 2015.
  6. Cormega > Awards. Kigezo:Noitalic. Rovi Corporation. Iliwekwa mnamo January 2, 2015.
  7. Cormega katika Allmusic
  8. Cormega and Gunplay release new single (February 29, 2016).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cormega kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.