Capone-N-Noreaga
Capone-N-Noreaga | |
---|---|
Pia anajulikana kama | C-N-N |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1995–2004, 2006–2011, 2013–hadi sasa |
Studio | Penalty (1996-1999, 2014-present) Tommy Boy (1996-2001) Def Jam (2001-2005) SMC (2008-2011) IceH²O Records (2009-2011) |
Ameshirikiana na | Busta Rhymes, Mobb Deep, Tragedy Khadafi Imam T.H.U.G., The LOX, Nas, Raekwon |
Capone-N-Noreaga (pia wanajulikana kama C-N-N) ni jina la kutaja kundi la muziki wa hip linaloendeshwa na watu wawili kutoka mjini Queens, New York City, New York. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1995. Wawili hawa wanaunganishwa na marapa kutoka East Coast hip hop, Capone na Noreaga.[1]
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 1995, Capone-N-Noreaga walionekana kwenye jarida la The Source mnamo mwezi October wakiwa hawajapata mkataba na studio yoyote ile. Mwaka wa 1996, wawili hawa wakapata kuingia mkataba na studio ya Penalty Records. Mwaka wa 1996, kabla albamu ya kumalizika kwa albamu ya kwanza ya kundi, Capone akapigwa kifungo cha nje kwa kuleta fujo,[2] na Noreaga akamalizia albamu yao ya kwanza ya The War Report, kwa msaada wa wasanii wenzi wao kadhaa wa kutoka mjini New York City hip-hop kama vile Mobb Deep na Tragedy Khadafi. Albamu ilipata mafanikio makubwa kitahakiki na kifedha vilevile;[3] pia iliona joto ya jiwe inayoendelea wa East Coast-West Coast hip hop kati ya Death Row Records na Bad Boy Entertainment, ikaufanya mzozo wa East Coast/West Coast kuzidi kuwa mkubwa, wakiwajibu kundi lingine lenyewe watu wawili la West Coast hip hop Tha Dogg Pound na kibao chao cha "New York, New York", na ngoma yao ngumu ya "L.A L.A".
Diskografia
[hariri | hariri chanzo]Albamu za studio
[hariri | hariri chanzo]Jina | Albamu | Nafasi iliyoshika | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
US |
US R&B |
US Rap | |||||||||||
The War Report |
|
21 | 4 | — | |||||||||
The Reunion |
|
31 | 8 | — | |||||||||
Channel 10 |
|
136 | 21 | 7 | |||||||||
The War Report 2: Report the War |
|
104 | 19 | 12 | |||||||||
Lessons |
|
— | — | — | |||||||||
"—" viashiria vina maanisha ya kwamba rekodi hiyo haijashika chati kabisa. |
Albamu za kompilesheni
[hariri | hariri chanzo]Jina | Maelezo ya albamu | Nafasi iliyoshika | ||
---|---|---|---|---|
US |
US R&B |
US Rap | ||
The Best of Capone-N-Noreaga: Thugged da F*@# Out |
|
— | 70 | — |
Kandamseto
[hariri | hariri chanzo]Jina | Maelezo ya aalbamu |
---|---|
Camouflage Season |
|
Vibao vyao
[hariri | hariri chanzo]Jina | Mwaka | Nafasi iliyoshika[5] | Albamu | ||
---|---|---|---|---|---|
US |
US R&B |
US Rap | |||
"Illegal Life" (featuring Havoc and Tragedy Khadafi) |
1996 | — | 84 | 18 | The War Report |
"L.A., L.A." (featuring Mobb Deep and Tragedy Khadafi) |
— | — | 39 | ||
"T.O.N.Y. (Top of New York)" (featuring Tragedy Khadafi) |
1997 | 103 | 56 | 16 | |
"Closer" (featuring Nneka) |
111 | 63 | 9 | ||
"Phonetime" | 2000 | — | — | 22 | The Reunion |
"Y'all Don't Wanna" | 2001 | — | 71 | — | |
"Yes Sir"[6] | 2003 | — | — | — | non-album single |
"Follow the Dollar" | 2008 | — | — | — | Channel 10 |
"Rotate" (featuring Busta Rhymes and Ron Browz) |
2009 | — | 115 | — | |
"Talk To Me Big Time" | — | — | — | ||
"Hood Pride" (akiwa na Faith Evans) |
2010 | — | — | — | The War Report 2: Report the War |
"3 on 3" (featuring Tragedy Khadafi and The LOX) |
2015 | — | — | — | Lessons |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "N.O.R.E. Announces Capone-N-Noreaga Has Disbanded - Get The Latest Hip Hop News, Rap News & Hip Hop Album Sales - HipHop DX". HipHopDX. Iliwekwa mnamo 17 Septemba 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-11-13. Iliwekwa mnamo 2015-06-04.
- ↑ "The War Report : Overview". Allmusic.
{{cite web}}
:|access-date=
requires|url=
(help); Missing or empty|url=
(help) - ↑ "Capone-N-Noreaga - Camouflage Season - DJ Green Lantern". Livemixtapes.com. Iliwekwa mnamo 2015-05-13.
- ↑ [[[:Kigezo:BillboardURLbyName]] Artist Chart History - Capone-N-Noreaga]
- ↑ "Capone -N- Noreaga - Yes Sirr (Vinyl) at Discogs". Discogs.com. Iliwekwa mnamo 2015-05-13.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Capone-N-Noreaga katika Allmusic
- Capone-N-Noreaga katika Discogs
- Capone-N-Noreaga discography katika MusicBrainz
- Capone-N-Noreaga katika MySpace
- website to DJ EFN, A&R of Channel 10 Ilihifadhiwa 18 Februari 2021 kwenye Wayback Machine.