Nenda kwa yaliyomo

Majadiliano:Onyx

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ingekuwa vema kuhamisha makala kwenda Onyx (bendi) au Onyx (kundi la muziki) maana Onyx yenyewe ni minerali au jiwe lenye thamani kiasi na sijui kama kuna jina la kiswahili kwa hiyo tukipata makala lemma "Onyx" iwe kwa jiwe. Kipala (majadiliano) 09:47, 9 Januari 2017 (UTC)[jibu]

Nilivyoona hakuna makala nyingine yenye jina hili ndipo nilipoamua kutumia moja kwa moja. Ikija ya jiwe, basi tutaweka makala ya maana. Hivyo tu!--MwanaharakatiLonga 11:57, 9 Januari 2017 (UTC)[jibu]