Monika
Mandhari
Monika (Tagaste, Numidia, leo Algeria 332 - Ostia, kitongoji cha Roma, Italia, 387) alikuwa mwanamke wa kabila la Kiafrika la Waberberi ambaye aliolewa mapema na Patricius, afisa wa Dola la Roma, akamzalia watoto, mmojawao Agostino wa Hippo[1].
Kwa ajili ya uongofu wake alisali sana na kutoa machozi mengi mbele ya Mungu hadi akasikilizwa. Ndipo alipopotewa na hamu ya kuishi akatamani tu kwenda mbinguni akafariki dunia kabla hajarudi Afrika [2].
Ni maarufu hasa kutokana na sifa alizomwagiwa mwanae huyo katika kitabu cha Maungamo (Confessiones).
Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu, hasa tarehe 27 Agosti[3] au 4 Mei.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo kwa Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- M. CULLEN, O.S.A., Maungamo ya Mtakatifu Augustino kwa Muhtasari – tafsiri ya E. Msigala, O.S.A. - ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Ndanda – ISBN 9976-63-643-1
- M. CULLEN, O.S.A., Mtakatifu Monika: Mlinzi wa Akina Mama Wakristu – tafsiri ya E. Msigala, O.S.A. - ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Ndanda 2002 – ISBN 9976-63-641-5
- M. CULLEN, O.S.A., Watakatifu Monika na Augustino - ed. Shirika la Mt. Augustino Tanzania, 2013
Marejeo mengine
[hariri | hariri chanzo]- Peter Brown, Augustine of Hippo: A Biography. New edition with an epilogue, Berkeley, University of California Press, c2000
- Everett Ferguson, Encyclopedia of Early Christianity, Taylor & Francis, 1998, p. 776
- John J. O'Meara, The Young Augustine:the growth of St. Augustine's mind up to his conversion, London, Longmans, Green and Co, 1954
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Life of St. Monica, Mother of Saint Augustine of Hippo Archived 6 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- St. Monica Archived 2 Julai 2019 at the Wayback Machine.
- "St. Monica". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |