Mlangobahari wa Bering : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Bering Strait.jpeg|thumb|200px|right|Mlango wa Bering unavyoonekana kutoka angani]]
[[Image:Bering Strait.jpeg|thumb|200px|right|Mlango wa Bering unavyoonekana kutoka angani]]
[[Image:US_NOAA_nautical_chart_of_Bering_Strait.png|right|thumb|200px|Ramani ya mlango wa Bering]]
[[Image:US_NOAA_nautical_chart_of_Bering_Strait.png|right|thumb|200px|Ramani ya mlango wa Bering]]
'''Mlango wa Bering''' (kwa [[Kirusi]]: Берингов пролив; kwa [[Kiingereza]]: Bering Strait) ni [[mlango wa bahari]] na mahali pa kukaribiana kati ya [[Alaska]] upande wa [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Siberia]] upande wa [[Asia]].


'''Mlango wa Bering''' ([[Kirusi]]: Берингов пролив; [[Kiing.]]:Bering Strait) ni [[mlango wa bahari]] na mahali pa kukaribiana kati ya [[Alaska]] upande wa [[Amerika ya Kaskazini]] na [[Siberia]] upande wa [[Asia]].
Mlango wa Bering una [[upana]] wa takriban [[kilomita]] 92 na [[kina]] cha [[mita]] 30 hadi 50 pekee. Unaunganisha [[bahari ya Aktiki]] na [[Pasifiki]].


[[Jina]] limetokana na [[Vitus Bering]] aliyekuwa [[Mdenmark]] katika utumishi wa Urusi aliyevuka mlango huu mwaka [[1728]].
Mlango wa Bering una upana wa takriban [[kilomita]] 92 na kina cha [[mita]] 30 hadi 50 pekee. Unaunganisha [[bahari ya Aktiki]] na [[Pasifiki]].


Kando ya mlango wa Bering pande zote mbili maeneo yana watu wachache kwa sababu ya [[mazingira]] ya [[baridi]].
Jina limetokana na [[Vitus Bering]] aliyekuwa Mdenmark katika utumishi wa Urusi aliyevuka mlango huu mwaka [[1728]].


Kufuatana na [[nadharia]] za [[wataalamu]] wa [[historia]] hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda [[Amerika]]. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa [[Enzi ya Barafu]] miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha [[maji]] [[duniani]] kilipatikana kwa umbo la [[barafu]] na hivyo kiasi cha maji [[kiowevu]] kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hiyo [[usawa wa bahari]] ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo<ref>[http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html] As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017</ref> na mlango wa Bering ulikuwa mkavu ukapitika kwa [[miguu]]. Hivyo watu waliingia kwa mara ya kwanza barani Amerika.
Maeneo kando la mlango Bering pande zote mbili yana watu wachache kwa sababu ya mazingira baridi.

Kufuatana na nadharia za wataalamu wa historia hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda [[Amerika]]. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa [[Enzi ya Barafu]] miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha maji duniani kilipatikana kwa umbo la [[barafu]] na hivyo kiasi cha maji [[kiowevu]] kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hii [[usawa wa bahari]] ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo<ref>[http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html] As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017</ref> na mlango wa Bering ulikuwa mkavu ukapitika kwa miguu.


[[Category:Milango ya Bahari]]
[[Category:Milango ya Bahari]]
[[Category:Aktiki]]
[[Category:Aktiki]]
[[Jamii:Historia ya Amerika]]

Pitio la 06:41, 20 Februari 2017

Mlango wa Bering unavyoonekana kutoka angani
Ramani ya mlango wa Bering

Mlango wa Bering (kwa Kirusi: Берингов пролив; kwa Kiingereza: Bering Strait) ni mlango wa bahari na mahali pa kukaribiana kati ya Alaska upande wa Amerika ya Kaskazini na Siberia upande wa Asia.

Mlango wa Bering una upana wa takriban kilomita 92 na kina cha mita 30 hadi 50 pekee. Unaunganisha bahari ya Aktiki na Pasifiki.

Jina limetokana na Vitus Bering aliyekuwa Mdenmark katika utumishi wa Urusi aliyevuka mlango huu mwaka 1728.

Kando ya mlango wa Bering pande zote mbili maeneo yana watu wachache kwa sababu ya mazingira ya baridi.

Kufuatana na nadharia za wataalamu wa historia hapa palikuwa mahali pa kuvuka kwa watu wa kwanza kutoka Asia kwenda Amerika. Inafikiriwa ya kwamba wakati wa Enzi ya Barafu miaka 10,000 iliyopita kiasi kikubwa cha maji duniani kilipatikana kwa umbo la barafu na hivyo kiasi cha maji kiowevu kilikuwa kidogo kuliko leo. Kwa sababu hiyo usawa wa bahari ulikuwa takriban mita 121 chini ya uwiano wa leo[1] na mlango wa Bering ulikuwa mkavu ukapitika kwa miguu. Hivyo watu waliingia kwa mara ya kwanza barani Amerika.

  1. [http://earth.rice.edu/mtpe/cryo/cryosphere/topics/ice_age/ice_sea.html As ice sheets build up sea level drops, exposing continental shelves], Tovuti ya rice.edu, ilitazamiwa Februari 2017