14 Mei : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
* [[1995]] - [[Christian Anfinsen]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1972]] |
* [[1995]] - [[Christian Anfinsen]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1972]] |
||
* [[2006]] - [[Robert Merrifield]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1984]] |
* [[2006]] - [[Robert Merrifield]], mshindi wa [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa [[1984]] |
||
==Viungo vya nje== |
|||
{{commons}} |
|||
* [http://news.bbc.co.uk/onthisday/hi/dates/stories/may/14 BBC: On This Day] |
|||
* [http://www1.sympatico.ca/cgi-bin/on_this_day?mth=May&day=14 On this day in Canada] |
|||
{{DEFAULTSORT:Mei 14}} |
|||
[[Jamii:Mei]] |
[[Jamii:Mei]] |
Pitio la 13:07, 9 Aprili 2016
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1643 - Louis XIV alikuwa mfalme wa Ufaransa akiwa na umri wa miaka minne tu
- 1811 - Nchi ya Paraguay inatangaza uhuru wake kutoka Hispania.
Waliozaliwa
- 1928 - Che Guevara, mwanamapinduzi kutoka Argentina
- 1944 - George Lucas, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
- 1952 - David Byrne, mwanamuziki wa Marekani
- 1968 - Ranko Matasović, mtaalamu wa isimu kutoka Kroatia
- 1984 - Mark Zuckerberg, mwanzilishi mwenza wa Facebook
Waliofariki
- 649 - Papa Theodor I
- 964 - Papa Yohane XII
- 1863 - Mtakatifu Mikaeli Garikoitz, padri wa Ufaransa
- 1940 - Emma Goldman, mwanaharakati wa utawala huria kutoka Urusi na Marekani
- 1995 - Christian Anfinsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 2006 - Robert Merrifield, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1984