Kitabu cha Yuditi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 56: Mstari 56:
[[Kitabu cha Ezra|Ezra]]
[[Kitabu cha Ezra|Ezra]]
[[Kitabu cha Nehemia|Nehemia]]
[[Kitabu cha Nehemia|Nehemia]]
[[Kitabu cha Esta|Esta]]
[[Kitabu cha Tobiti|Tobiti]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Tobiti|Tobiti]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yuditi|Yuditi]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Yuditi|Yuditi]]<sup><small>DK</small></sup>

Pitio la 21:19, 24 Julai 2008

Kitabu cha Yudith ni kimojawapo kati ya vitabu deuterokanoni vya Biblia.

Kimo katika Septuaginta na katika Agano la Kale la Kanisa Katoliki, la Waortodoksi wengi na la baadhi ya Waprotestanti, lakini si katika Tanakh ya Uyahudi wala katika Biblia ya Waprotestanti.

Hadithi hiyo, iliyoandikwa katika karne ya 1 K.K. inahusu wakati wa mfalme Nebukadreza, na vita vyake dhidi ya Israeli (karne ya 6 K.K.).

Kinyume cha matarajio, Yudith, mwanamke wa kabila la Yuda, aliweza kupata ushindi kwa imani na ushujaa wake.

Habari hiyo ya ajabu ilipata mwangwi kwa wingi katika sanaa mbalimbali.

Wengi wanaona katika Yudith kielelezo cha Bikira Maria katika mapambano dhidi ya shetani, hasa kutokana na maneno yafuatayo: "Umebarikiwa, binti yangu, usoni pa Mungu Aliye Juu, kuliko wanawake wote duniani. Na ahimidiwe Bwana Mungu, Muumba mbingu na nchi, aliyekuongoza hata ukampiga kichwa mkuu wa adui zetu" (Yudith 13:18).