Chui milia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
Masahihisho katika sanduku

Mstari 16: Mstari 16:
| spishi = ''[[Panthera tigris]]''
| spishi = ''[[Panthera tigris]]''
| bingwa_wa_spishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
| bingwa_wa_spishi = ([[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758)
| subdivision = '''Nususpishi 5:'''
| nususpishi = ''[[Panthera t. altaica]]''

''[[Panthera t. amoyensis]]''

* ''[[Panthera tigris sondaica|P. t. sondaica]]'' ([[Coenraad Jacob Temminck|Temminck]], 1844)
''[[Panthera t. altaica]]''

* ''[[Panthera tigris tigris|P. t. tigris]]'' (Linnaeus, 1758)
''[[Panthera t. corbetti]]''

* †''[[Panthera tigris acutidens|P. t. acutidens]]'' ([[Otto Zdansky|Zdansky]], 1928)
* †''[[Panthera tigris soloensis|P. t. soloensis]]'' [[Gustav Heinrich Ralph von Koenigswald|Koenigswald]], 1933
''[[Panthera t. jacksoni]]''

''[[Panthera t. sumatrae]]''

* †''[[Panthera tigris trinilensis|P. t. trinilensis]]'' [[Eugène Dubois|Dubois]], 1908
| ramani = Tiger distribution3.PNG
''[[Panthera t. tigris]]''

| upana_wa_ramani = 250px
| maelezo_ya_ramani = Msambao wa chui milia mnamo 1900 (machungwa) na wa kisasa (nyekundu)

'''Chui milia''' (pia: '''babara''' kutoka [[Kiarabu]]: [[:ar:ببر|babar]]; [[jina la kisayansi]]: ''Panthera tigris''; kwa [[Kiingereza]]: ''tiger'') ni [[mnyama]] mkubwa [[Walanyama|mlanyama]] wa [[Familia (biolojia)|familia]] ya Felidae katika ngeli ya [[mamalia]], kwa hiyo chui milia hufanana na [[paka]] mkubwa.
'''Chui milia''' (pia: '''babara''' kutoka [[Kiarabu]]: [[:ar:ببر|babar]]; [[jina la kisayansi]]: ''Panthera tigris''; kwa [[Kiingereza]]: ''tiger'') ni [[mnyama]] mkubwa [[Walanyama|mlanyama]] wa [[Familia (biolojia)|familia]] ya Felidae katika ngeli ya [[mamalia]], kwa hiyo chui milia hufanana na [[paka]] mkubwa.
Mstari 34: Mstari 36:
Jike anazaa watoto 2-3 na kuwatunza kwa miaka 2 - 3. Baadaye wanapaswa kujitafutia eneo lao. Kwa [[umri]] wa miaka 3-4 anaweza kuzaa na kufikia umri wa miaka 20 - 25.
Jike anazaa watoto 2-3 na kuwatunza kwa miaka 2 - 3. Baadaye wanapaswa kujitafutia eneo lao. Kwa [[umri]] wa miaka 3-4 anaweza kuzaa na kufikia umri wa miaka 20 - 25.

[[Picha:Tiger distribution3.PNG|thumb|300px|left|[[Ramani]] inayoonyesha maeneo yaliyokaliwa na chui milia mnamo [[1900]] (chungwa) na eneo lililowabakia leo (nyekundu).]]
== Viungo vya nje ==
== Viungo vya nje ==
{{commons|Panthera tigris}}
{{commons|Panthera tigris}}

Toleo la sasa la 20:39, 6 Desemba 2021

Chui milia
Chui milia wa Bengali
Chui milia wa Bengali
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha watoto wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Pantherinae (Wanyama wanaofanana na chui)
Jenasi: Panthera
Spishi: Panthera tigris
(Linnaeus, 1758)
Ngazi za chini

Nususpishi 5:

Msambao wa chui milia mnamo 1900 (machungwa) na wa kisasa (nyekundu)
Msambao wa chui milia mnamo 1900 (machungwa) na wa kisasa (nyekundu)

Chui milia (pia: babara kutoka Kiarabu: babar; jina la kisayansi: Panthera tigris; kwa Kiingereza: tiger) ni mnyama mkubwa mlanyama wa familia ya Felidae katika ngeli ya mamalia, kwa hiyo chui milia hufanana na paka mkubwa.

Chui milia wanaishi katika Asia katika pembetatu kati ya Uhindi, Siberia ya kusini na Indonesia. Mazingira wanayoendelea ni misitu. Siku hizi idadi ya chui milia imepungua sana kutokana na upotevu wa maeneo na kuwindwa.

Chakula chao ni nyama inayopatikana kwa kuwinda wanyama wengine. Kama wanyama wengi wanaofanana na paka, chui milia hupendelea kuwinda peke yake. Kila mmoja ana eneo lake analoweka alama za mkojo na kulitetea dhidi ya chui milia wengine.

Ukubwa wa wanyama hao hutofautiana kutokana na maeneo yao na nususpishi zao. Wale wa Sumatra ni wadogo, wakiwa na urefu wa mwili (pamoja na kichwa bila mkia) sentimita 140 pekee na uzito wa kg 120. Mkubwa zaidi ni chui milia wa Siberia mwenye urefu unaopita mita 2 na uzito wa kilogramu 150 (jike) hadi 250 (dume). Aina ya Siberia ni kubwa kushinda simba wa Afrika.

Jike anazaa watoto 2-3 na kuwatunza kwa miaka 2 - 3. Baadaye wanapaswa kujitafutia eneo lao. Kwa umri wa miaka 3-4 anaweza kuzaa na kufikia umri wa miaka 20 - 25.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chui milia kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.