Gujarat : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
+GujaratPhotoMontage.jpg #WPWP #WPWPTZ |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha: GujaratPhotoMontage.jpg|thumbnail|right|280px|Moja ya Sehemu ya mji ndani ya jimbo la wa Gujarat]] |
|||
[[Picha:Gujarat in India (disputed hatched).svg|thumb|right|250px|Gujarat kwenye [[ramani]] ya India.]] |
[[Picha:Gujarat in India (disputed hatched).svg|thumb|right|250px|Gujarat kwenye [[ramani]] ya India.]] |
||
[[Picha:Gujarat map with Gir Nat Park-de.svg|thumb|250px|Ramani ya Gujarat.]] |
[[Picha:Gujarat map with Gir Nat Park-de.svg|thumb|250px|Ramani ya Gujarat.]] |
Toleo la sasa la 07:30, 27 Julai 2020
Gujarat ni jimbo la kujitawala ndani ya shirikisho la Uhindi.
Mji mkuu ni Gandhinagar ambao ni mji mpya uliopewa jina hilo kwa heshima ya Mahatma Gandhi aliyezaliwa Porbandar, jimboni Gujarat. Mji mkubwa ni Ahmedabad, ukifuatwa na Surat.
Gujarat ina eneo la km² 196,024 zinazokaliwa na watu milioni 50.
Lugha rasmi ni Kigujarati inayotumiwa na asilimia 80 za wakazi.
Wengi wao ni Wahindu (88.57%), kuna pia Waislamu (9.67%), Wajain (0.96%), Wakristo (0.52%) n.k.
Jina | Wilaya | Idadi ya wakazi |
---|---|---|
Ahmedabad | Ahmedabad | 6,357,693 |
Surat | Surat | 5,935,000 |
Vadodara | Vadodara | 2,065,771 |
Rajkot | Rajkot | 1,390,640 |
Bhavnagar | Bhavnagar | 605,882 |
Jamnagar | Jamnagar | 479,92 |
Junagadh | Junagadh | 319,462 |
Gandhinagar | Gandhinagar | 292,167 |
Gandhidham | Kutch | 248,705 |
Nadiad | Kheda | 225,071 |
Morbi | Morbi | 210,451 |
Anand, Gujarat | Anand | 209,41 |
Mehsana | Mehsana | 190,753 |
Surendranagar Dudhrej | Surendranagar | 177,851 |
Veraval | Gir Somnath | 171,121 |
Navsari | Navsari | 171,109 |
Bharuch | Bharuch | 169,007 |
Vapi | Valsad | 163,63 |
Porbandar | Porbandar | 152,76 |
Bhuj | Kutch | 148,834 |
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gujarat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |