Kadi karadha

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kadi karadha ni kadi ya kulipia iliyotolewa kwa watumiaji (wamiliki wa kadi) ili kuwawezesha kulipa mfanyabiashara kwa bidhaa na huduma.

Mtoaji wa kadi (kawaida huwa ni benki) anatoa mikopo kwa mmiliki wa kadi ambaye hulipa benki baadaye. Malipo yake hujumuisha riba.

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

ThreeCoins.svg Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kadi karadha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.