Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Mbeere Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Mbeere Kaskazini (awali: Siakago) ni Jimbo la Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo mane yaliyo katika Kaunti ya Embu. Jimbo hilo lina wodi tano na zote huwachagua madiwani kwa baraza la Mbeere County.

Mji wa Siakago ambao ni mji mkuu wa Wilaya ya Mbeere unapatikana katika kata ya Nthawa katika jimbo hili.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988 wakati jimbo la Embu Mashariki liligawanywa kutengeneza Jimbo la Runyenjes na Siakago.

Silvester Mate, Mbunge wa kwanza wa Siakago, ndiye alikuwa pia mbunge wa mwisho wa Embu Mashariki baada ya kushinda kiti hicho wakati wa Uchaguzi Mkuu a 1983[1].

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Silvester Mate KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Gerald Ireri Ndwiga KNC Ndwiga alihamuia KANU mnamo 1995 na kushinda uchaguzi mdogo uliofuatia
1997 Silas M’Njamiu Ita DP Ita aliaga dunia mnamo 1999 [2]
1999 Justin Bedan Njoka Muturi KANU Uchaguzi Mdogo
2002 Justin Bedan Njoka Muturi NARC
2007 Kivuti Maxwell Safina

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Gituburi 8,005
Ishiara 13,575
Kanyuambora 11,658
Kiangombe 8,294
Muminji 8,390
Mutitu 7,040
Ndurumori 9,750
Nthawa 16,892
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojisajili
Ishiara 4,685
Kanyuambora 4,812
Kiang'ombe 6,844
Muminji 5,883
Nthawa 9,808
Jumla 32,032
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. 1.0 1.1 Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
  2. Daily Nation, 22 Aprili 1999: Siakago MP dies in hospital
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]