Jimbo la Uchaguzi la Mbooni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jimbo la Uchaguzi la Mbooni ni mojawapo ya majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Makueni mkoani Mashariki, miongoni mwa majimbo matano wilayani humo.

Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1966.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1966 Simon Masau Kioko KANU
1969 Simon Masau Kioko KANU Mfumo wa Vyama Vingi
1974 Fredrick Mulinge Kalulu KANU Mfumo wa Vyama Vingi
1979 Fredrick Mulinge Kalulu KANU Mfumo wa Vyama Vingi
1983 Joseph Konzollo Munyao KANU Mfumo wa Vyama Vingi
1988 Johnstone Mwendo Makau KANU Mfumo wa Vyama Vingi
1992 Johnstone Mwendo Makau KANU
1997 Fredrick Mulinge Kalulu KANU
2002 Joseph Konzollo Munyao NARC
2007 Mutula Kilonzo ODM-Kenya

Kata na Wodi[hariri | hariri chanzo]

Kata
Kata Idadi ya Watu*
Athi 6,184
Kako 7,636
Kalawa 9,974
Katangini 8,668
Kathulumbi 7,209
Kisau 18,766
Kiteta 23,253
Kithungo 15,467
Kitundu 15,089
Mbooni 37,549
Tulimani 39,789
Waia 19,428
Jumla x
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili Baraza la Utawala wa Mitaa
Kako 2,144 Wote (Mji)
Kalawa 4,970 Makueni county
Katangini 4,764 Makueni county
Kisau 11,445 Makueni county
Kiteta 7,470 Makueni county
Kithungo / Kitundu 9,092 Makueni county
Mbooni 11,219 Makueni county
Tulimani 13,329 Makueni county
Jumla 64,433
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]