Jimbo la Uchaguzi la Kitui ya Kati
Jamhuri ya Kenya |
![]() Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo la Uchaguzi la Kitui ya Kati ni mojawapo ya Majimbo 210 ya uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo manne ya Wilaya ya Kitui mkoani Mashariki.
Yaliyomo
Historia[hariri | hariri chanzo]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963, huku mbunge wake wa kwanza akiwa Eliud Ngala Mwendwa.
Wabunge[hariri | hariri chanzo]
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Eliud Ngala Mwendwa | KANU | |
1969 | Eliud Ngala Mwendwa | KANU | Mfumo wa chama Kimoja |
1974 | Daniel Musyoka Mutinda | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1976 | Daniel Musyoka Mutinda | KANU | Uchaguzi mdogo |
1979 | Titus Mbathi | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | John Mutinda | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | George Ndotto | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Charity Ngilu | DP | |
1997 | Charity Ngilu | SDP | |
2002 | Charity Ngilu | NARC | |
2007 | Charity Ngilu | NARC |
Wodi[hariri | hariri chanzo]
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
Baraza la Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Itoleka / Katulani | 5,140 | Munisipali ya Kitui |
Kisasi / Mbitini / Mbusyani | 14,025 | Kitui county |
Kitui township / Kaveta | 8,874 | Munisipali ya Kitui |
Kyangwithya East | 11,288 | Munisipali ya Kitui |
Kyangwithya West | 8,200 | Munisipali ya Kitui |
Maliku | 4,738 | Kitui county |
Miambani | 5,196 | Kitui county |
Mulango | 6,504 | Munisipali ya Kitui |
Jumla | 63,965 | |
*Septemba 2005 [2]. |
Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Virejeleo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency