Jimbo la Uchaguzi la Kaiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jimbo la Uchaguzi la Kaiti ni mojawapo ya majimbo 210 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Wilaya ya Makueni mkoani Mashariki mwa Kenya miongoni mwa majimbo matano katika wilaya hiyo.

Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997 Gideon Musyoka Ndambuki KANU
2002 Gideon Musyoka Ndambuki KANU
2007 Gideon Musyoka Ndambuki ODM-Kenya

Kata na Wodi[hariri | hariri chanzo]

Kata
Kata Idadi ya Watu*
Ilima 22,311
Kee 14,760
Kikolo 21,805
Kilala 18,846
Kilungu 8,955
Okia 22,484
Kithembe 18,292
Watema 11,046
Jumla x
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili Utawala wa Mitaa
Kaumoni 4,395 Wote (Mji)
Kilungu / Ilima 9,117 Makueni county
Kithembe / Kikoko 13,209 Makueni county
Ukia / Iuani 10,030 Makueni county
Watema / Kee / Kivani 8,507 Makueni county
Jumla 45,258
*Septemba 2005 [2].

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]