Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kaiti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kaiti ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Makueni, Mashariki mwa Kenya miongoni mwa majimbo sita katika kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997Gideon Musyoka NdambukiKANU
2002Gideon Musyoka NdambukiKANU
2007Gideon Musyoka NdambukiODM-Kenya

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Ilima22,311
Kee14,760
Kikolo21,805
Kilala18,846
Kilungu8,955
Okia22,484
Kithembe18,292
Watema11,046
Jumlax
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili Utawala wa Mitaa
Kaumoni4,395Wote (Mji)
Kilungu / Ilima9,117Makueni county
Kithembe / Kikoko13,209Makueni county
Ukia / Iuani10,030Makueni county
Watema / Kee / Kivani8,507Makueni county
Jumla45,258
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]