Jimbo la Uchaguzi la Juja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Juja ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya Uchaguzi katika Kaunti ya Kiambu.

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu w 1969.

Miji ya Thika, Ruiru, Juja na Kilima Mbogo yamo katika Jimbo hili.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo zaidi
1969 Gitu Kahengeri KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Peter Kenyatta Muigai KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Gitu Kahengeri KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 George Kamau Muhoho KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 George Kamau Muhoho KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Stephen Rugendo Ndicho Ford-Asili
1997 Stephen Rugendo Ndicho SDP
2002 William Kabogo Gitau Sisi kwa Sisi
2007 George Thuo PNU

Lokesheni na Wodi[hariri | hariri chanzo]

Lokesheni
Lokesheni Idadi ya Watu*
Gatuanyaga 18,975
Juja 43,505
Ruiru 115,885
Munisipali ya Thika 94,372
Jumla 272,737
1999 census [2].
Wards
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Eneo
Githurai Kimbo 10,117 Ruiru munisipali
Gitothua 9,101 Munisipali ya Ruiru
Kahawa Sukari 5,910 Munisipali ya Ruiru
Murera 7,616 Munisipali ya Ruiru
Viwanda / Biashara 7,767 Munisipali ya Ruiru
Biashara 7,503 Thika Munisipali
Hospital 4,956 Munisipali ya Thika
Kiganda 6,473 Munisipali ya Thika
Komu 9,313 Munisipali ya Thika
Majengo 3,429 Munisipali ya Thika
Market 4,841 Munisipali ya Thika
Mugumoini 7,613 Munisipali ya Thika
Ndururumo 5,714 Munisipali ya Thika
Gatuanyaga 7,897 Thika county
Juja 6,878 Thika county
Kalimoni 6,691 Thika county
Jumla 111,819
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007 George Thuo

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]