Hubertus wa Liege

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Hubert, Basilika la Mt. Patrick, Ottawa, Canada.

Hubertus au Hubert (656 hivi – 30 Mei 727) alikuwa askofu wa Liège (leo nchini Ubelgiji) kuanzia mwaka 708[1] na huko alipewa jina la Mtume wa Ardennes[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.[3]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Novemba.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Crystal, David (1994). The Cambridge Biographical Encyclopedia. Cambridge: Cambridge University Press, 471. ISBN 0521434211. 
  2. R. de la Haye, “Lambertus, laatste bisschop van Maastricht; Hubertus, eerste bisschop van Luik: Hun eigentijdse levensbeschrijvingen”, Publications de la Société Historique et Archéologique dans le Limbourg (PSHAL) 143 (2007), 9-66.
  3. St Hubert's Key in the Science Museum, London

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hubertus wa Liege kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.