Nenda kwa yaliyomo

Bayern Munich

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka FC Bayern Munich)
Nembo ya klabu ya mpira wa miguu ya Bayern Munch.

FC Bayern Munich, pia inajulikana kama Bayern München, ni klabu maarufu ya mpira wa miguu mjini München katika Bavaria nchini Ujerumani. klabu ilianzishwa mnamo mwaka 1900 na inawanachama wa kulipwa wapatao 104.000. Kilabu hii uchezea sana katika uwanja wao wa nyumbani maarufu kama Allianz Arena.[1]


Wachezaji maarufu waliochezea klabu ya Bayern Munich mnamo 1970-2010[hariri | hariri chanzo]

Makocha wa klabu ya Bayern Munich[hariri | hariri chanzo]

Wachezaji wa klabu kwa msimu wa mwaka wa 2007/2008[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Bayern Munich kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Never-say-die Reds overcome Ingolstadt at the death". FC Bayern Munich. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Februari 2017. Iliwekwa mnamo 12 Februari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)