Sandro Wagner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wagner akiwa mazoezini

Sandro Wagner (alizaliwa Munich, 29 Novemba 1987) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya FC Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.

Wagner alifunga mabao yake ya kwanza na Bayern Munich kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya VfB Stuttgart mwaka 2007,yeye ni mmoja kati ya washambuliaji bora wa Ujerumani mwaka 2017-18.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandro Wagner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.