Allianz Arena

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uwanja wa Allianz Arena.

Allianz Arena ni uwanja wa mpira wa miguu kutoka Kaskazini mwa mji wa Munich, Ujerumani. Kwa kuwa uwanja huo huwa na kawaida ya kuchezea Ligi kuu za mabingwa, ukapelekea kuitwa jina la Munich arena.

Katika uwanja wa Allianz kuna timu mbili za mkoa huwa zinachezea katika uwanja huo. Moja kati ya timu hizo ni FC Bayern München na TSV 1860 München tangu msimu wa mwaka 2005/2006 wanachezea katika uwanja wao wa nyumbani.

Uwanja una viti vipatavyo 69,901. Wakati Kombe la Dunia la mwaka 2006 lililochezewa nchini Ujerumani, uwanja wa Allianz pia ulitumiwa.

Inasemekana kuwa, uwanja huo uligharimu takriban Euro milioni 340.

Picha[hariri | hariri chanzo]

  • Picha zinazoonyesha baadhi ya maeneo ya uwanja Allianz Arena:


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Allianz Arena kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.