Raimond Aumann
Mandhari
Raimond Aumann
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ujerumani |
Nchi anayoitumikia | Ujerumani |
Jina katika lugha mama | Raimond Aumann |
Jina halisi | Raimond |
Jina la familia | Aumann |
Tarehe ya kuzaliwa | 12 Oktoba 1963 |
Mahali alipozaliwa | Augsburg |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kijerumani |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | goalkeeper |
Muda wa kazi | 1982 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 1990 FIFA World Cup |
Ligi | Bundesliga |
Raimond Aumann (amezaliwa 12 Oktoba 1963) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ujerumani. Alikuwa golikipa wa Bundesliga kati ya mwaka 1982 na 1994. Kwa miaka miwili ya mwanzo alikuwa golikipa msaidizi wa FC Bayern Munich (wa kwanza kuchaguliwa alikuwa Bw. Jean-Marie Pfaff).
Mnamo mwaka wa 1984 akaja kuwa namba moja kwa mara ya kwanza mpaka alipokuja kuumia mnamo mwezi Novemba katika mwaka wa 1985. Pale Bw. Jean-Marie Pfaff alipoondoka katika kikosi cha Bayern Munich mnamo mwaka 1988, Raimond Aumann akawa ndiyo golikipa wa kwanza. Raimond pia alifirika kuwa ndiyo golikipa bora wa Ujerumani kwa kipindi hicho.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raimond Aumann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |