Exit 13
Exit 13 | |||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Studio album ya LL Cool J | |||||||||||
Imetolewa | 9 Septemba 2008 | ||||||||||
Imerekodiwa | 2007–2008 | ||||||||||
Aina | Hip hop | ||||||||||
Urefu | 72:43 | ||||||||||
Lebo | Def Jam | ||||||||||
Mtayarishaji | LL Cool J (exec.) Suits & Ray Burghardt, Ryan Leslie, Illfonics, The Dream Team, DJ Scratch, Frado & Absolut, Tricky Stewart, Raw Uncut, Marley Marl, Cue Beats, Dame Grease, Music Mystro, StreetRunner |
||||||||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||||||||
Wendo wa albamu za LL Cool J | |||||||||||
|
Exit 13 ni albamu ya kumi na mbili (ya 13 kwa ujumla) na albamu ya mwisho ya LL Cool J kujihusisha na studio ya rekodi ya Def Jam Recordings, uhusisho ambao ulidumu kwa takriban miaka kumi na miwili. Awali albamu ilipewa jina la Todd Smith Pt. 2: Back to Cool. Albamu ilitolewa mnamo tar. 9 Septemba 2008.
Matayarisho
[hariri | hariri chanzo]Albamu ni ya kwanza kwa albamu za LL Cool J tangu G.O.A.T. kuwa na nembp ya parental advisory kwa mashairi makali. Kwenye mahojiano ya redio yaliyofanywa na DJ Z kule mjini Chicago, LL alisema kwamba maneno yasiyo ya adabu si mabaya sana. Badala ya kutoimba maneno haya mabaya, toleo lililohaririwa linatumia mashairi mengine badala ya yale yasiyo ya adabu.[1] LL na DJ Kayslay wameungana ili kuweza kutoa albamu yao ya kwanza ya mixtape ukiwa kama utangulizi wa jina la Exit 13 liopewa jina la The Return of the G.O.A.T..
Wachangiaji wengie wa katika albamu hii ni pamoja na 50 Cent, Sheek Louch, Fat Joe, Ryan Leslie, Wyclef Jean, The-Dream, Lil Mo, Grandmaster Caz, Funkmaster Flex, Richie Sambora na Darlisa Blackshere.
Single
[hariri | hariri chanzo]Toleo lisilo rasmi la single ya mtaani, "Rockin' with the G.O.A.T.," ilianza kutolewa kwa mara ya kwanza mnamo tar. 20 Juni 2008.
Toleo rasmi la single ya kwanza, "Baby" akimshirikisha The-Dream ilitolewa mnamo tar. 1 Julai 2008 kupitia Maduka ya Muziki ya iTunes. Mnamo tar. 19 Agosti 2008, iTunes wametoa remixi ya ya rock akimshirikisha Richie Sambora, ikiwa na mahadhi ya rock na mistari ya kasi kidogo.
Toleo rasmi la single ya pili, "Feel My Heart Beat" akimshirikisha 50 Cent ilitolewa mnamo tar. 26 Agosti 2008. Lakini kwa bahati mbaya wimbo haukiingia katika chati za Billboard Hot 100. Toleo rasmi la wimbo huo ulivuja kwenye mtandao wa intaneti mnamo tar. 27 Novemba 2008.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]# | Jina | Mtayarishaji | Wageni walioshirikishwa | Muda |
---|---|---|---|---|
1 | "It's Time for War" | Suits & Ray Burghardt | 5:06 | |
2 | "Old School New School" | Ryan Leslie | 3:41 | |
3 | "Feel My Heart Beat" | The Dream Team | 50 Cent | 3:21 |
4 | "Get Over Here" | Frado & Absolut | It's Ya Girl Nicolette, Jiz, Lyrikal, & Ticky Diamondz | 5:49 |
5 | "Baby" | Tricky Stewart | The-Dream | 4:01 |
6 | "You Better Watch Me" | Marley Marl & M.Will | 4:20 | |
7 | "Cry" | Raw Uncut | Lil' Mo | 4:15 |
8 | "Baby (Rock Remix)" | Suits & Ray Burghardt | Richie Sambora | 3:08 |
9 | "Rocking with the G.O.A.T." | DJ Scratch | 3:43 | |
10 | "This Is Ring Tone M..." | DJ Scratch | Grandmaster Caz | 2:52 |
11 | "Like a Radio" | Ryan Leslie | Ryan Leslie | 3:34 |
12 | "I Fall in Love" | Suits & Ray Burghardt | Élan of the Dey | 3:57 |
13 | "Ur Only a Customer" | Dame Grease & Music Mystro | 2:18 | |
14 | "Mr. President" | Suits & Ray Burghardt | Wyclef Jean | 4:35 |
15 | "American Girl" | Illfonics | Mark Figueroa | 4:26 |
16 | "Speedin' on da Highway/Exit 13" | Suits & Ray Burghardt | Funkmaster Flex | 4:49 |
17 | "Come and Party with Me" | Illfonics | Fat Joe & Sheek Louch | 4:37 |
18 | "We Rollin'" | Cue Beats | 3:03 | |
19 | "Dear Hip Hop" | StreetRunner | 4:28 | |
20 | "New York, New York (Interlude)" (Japanese & iTunes Bonus Track) |
Kander and Ebb | 0:18 | |
21 | "New York" (Japanese & iTunes Bonus Track) |
Suits & Ray Burghardt | 4:28 |
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (2008) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Canadian Albums Chart[2] | 61 |
U.S. Billboard 200[3] | 9 |
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums[4] | 3 |
U.S. Billboard Top Rap Albums[4] | 2 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "LL Cool J interview on DJBooth.net". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-30. Iliwekwa mnamo 2010-02-06.
- ↑ "HMV Canada: "All Hope is Gone" by Slipknot tops CD sales list". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-12. Iliwekwa mnamo 2010-02-06.
- ↑ "Slipknot Edges The Game Atop Billboard 200". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-10-21. Iliwekwa mnamo 2010-02-06.
- ↑ 4.0 4.1 "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-09. Iliwekwa mnamo 2010-02-06.
Makala hii kuhusu albamu za hip hop za miaka ya 2000 bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- Mbegu za albamu za hip hop za miaka ya 2000
- Albamu za LL Cool J
- Albamu za 2008
- Albamu za Def Jam Recordings
- Albamu zilizotayarishwa na Tricky Stewart
- Albamu za hip hop
- Albamu zilizotayarishwa na DJ Scratch
- Albamu zilizotayarishwa na Dame Grease
- Albamu zilizotayarishwa na Marley Marl
- Albamu zilizotayarishwa na Ryan Leslie