Bigger and Deffer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bigger and Deffer
Bigger and Deffer Cover
Studio album ya LL Cool J
Imetolewa 22 Julai 1987
Imerekodiwa 1986-1987
Chung King House of Metal
(New York City)
Aina New Wave, Hip hop, Rap rock, New jack swing
Urefu 45:13
Lebo Def Jam/Columbia/CBS Records
CK 40793
Mtayarishaji L.A. Posse, DJ Pooh
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za LL Cool J
Radio
(1985)
Bigger and Deffer
(1987)
Walking with a Panther
(1989)
Single za kutoka katika albamu ya Bigger and Deffer
  1. "I'm Bad"
    Imetolewa: 13 Agosti 1987
  2. "I Need Love"
    Imetolewa: 2 Septemba 1987
  3. "Go Cut Creator Go"
    Imetolewa: 15 Oktoba 1987

Bigger and Deffer (pia huitwa BAD au Bigger And Deffer) ni jina la albamu ya pili ya rapa LL Cool J ambayo inakumbukwa sana kwa kuwa na "rap ballad" iliyofanikiwa zaidi kibiashara, "I Need Love". Albamu pia imejumlisha single kali ya "Go Cut Creator Go", ambayo imetoa heshima kwa DJ wake, na single ilioyofanya vizuri huko nchini Uingereza "I'm Bad". Mnamo 1998, albamu ilichaguliwa kuwa kama moja kati ya Albamu Bora 100 za Rap za The Source, ambapo pia ilijipatia tahakiki mchanganyiko kibao kutoka kwa wengine. Picha ya kava ya mbele ya albamu ilipigwa mbele ya shule aliyokuwa akisoma LL Cool J, Andrew Jackson High School huko mjini Queens,[1]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo zote zimetungwa na Simon/Ervin/Pierce/Smith, kasoro hizo zilizowekewa maelezo.

  1. "I'm Bad" – 4:39
  2. "Kanday" – 3:59
  3. "Get Down" – 3:23
  4. "The Bristol Hotel" – 2:43
  5. "My Rhyme Ain't Done" – 3:45
  6. ".357 - Break It on Down" (Ervin/Jordan/Pierce/Simon/Smith) – 4:05
  7. "Go Cut Creator Go" – 3:57
  8. "The Breakthrough" – 4:04
  9. "I Need Love" (Ervin/Ettenger/Simon/Smith) – 5:23
  10. "Ahh, Let's Get Ill" – 3:45
  11. "The Do Wop" – 4:59
  12. "On the Ill Tip" – :31

Chati[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Miaka Albamu Nafasi ya chati
Billboard 200 Top R&B/Hip Hop Albums
1987 Bigger and Deffer 3 1

Single[hariri | hariri chanzo]

Maelezo ya Single
"I'm Bad"
"I Need Love"

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. BestofQueens2004. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-02-07. Iliwekwa mnamo 2010-01-14.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bigger and Deffer kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.