Nenda kwa yaliyomo

Walking with a Panther

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Walking with a Panther
Walking with a Panther Cover
Studio album ya LL Cool J
Imetolewa 9 Juni 1989
Imerekodiwa 1988–1989
Aina Hip hop
Urefu 84:23
Lebo Def Jam/Columbia/CBS Records
CK 45172
Mtayarishaji LL Cool J
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za LL Cool J
Bigger and Deffer
(1987)
Walking with a Panther
(1989)
Mama Said Knock You Out
(1990)
Single za kutoka katika albamu ya Walking with a Panther
  1. "Going Back to Cali"
    Imetolewa: 27 Desemba 1988
  2. "I'm That Type of Guy"
    Imetolewa: 28 Juni 1989
  3. "Big Ole Butt"
    Imetolewa: 7 Julai 1989
  4. "One Shot at Love"
    Imetolewa: 31 Oktoba 1989
  5. "Jingling Baby"
    Imetolewa: 8 Januari 1990


Walking with a Panther ni jina la kutaja albamu ya tatu ya msanii wa rap na mauzo ya juu katika muziki huu, LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1989, albamu ilifanikiwa sana kimauzo, ikiwa na single kadhaa zilizoweza kushika chati ("Going Back to Cali," "I'm That Type of Guy," "Jingling Baby," "Big-Ole Butt," na "One Shot at Love"). Albamu hii hata hivyo ilipatwa kukandiwa sana jumuia kibao cha muziki wa hip hop kwa kuwa sana kikommercial sana, mautundu mengi, na kukatazamia sana katika miondoko ya maballad ya kimapenzi mno.[1]

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Droppin' Em"
  2. "Smokin', Dopin'"
  3. "Fast Peg"
  4. "Clap Your Hands'"
  5. "Nitro"
  6. "You're My Heart"
  7. "I'm That Type of Guy"
  8. "Why Do You Think They Call It Dope?"
  9. "Going Back to Cali"
  10. "It Gets No Rougher"
  11. "Big Ole Butt"
  12. "One Shot at Love"
  13. "1-900 L.L. Cool J"
  14. "Two Different Worlds"
  15. "Jealous"
  16. "Jingling Baby"
  17. "Def Jam in the Motherland"
  18. "Change Your Ways
  19. "Jack the Ripper" [only on the cassette version]
  20. "Crime Stories" [only on the cassette version]
  1. Huey, Steve. "Walking with a Panther: Review". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-12-23.