The DEFinition

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The DEFinition
The DEFinition Cover
Studio album ya LL Cool J
Imetolewa 31 Agosti 2004
Imerekodiwa 2003-2004
Aina Hip hop
Urefu 44:09
Lebo Def Jam
Mtayarishaji Timbaland
7 Aurelius
R. Kelly
Eric Williams
Teddy Riley
Marquinarius Holmes
N.O. Joe
Dame Grease
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za LL Cool J
10
(2002)
The DEFinition
(2004)
Todd Smith
(2006)
Single za kutoka katika albamu ya The DEFinition
  1. "Headsprung"
    Imetolewa: 12 Oktoba 2004
  2. "Hush"
    Imetolewa: 15 Februari 2005


The DEFinition ni jina la kutaja albamu ya kumi ya rapa wa Kimarekani LL Cool J. Albamu ilitolewa kupitia studio za Def Jam Recordings. Albamu ilitolewa mnamo tar. 31 Agosti 2004, na kushika nafasi ya 4 kwenye chati za Billboard 200 huko nchini Marekani. Iliingia kwa mara ya kwanza katika 5 bora, na kisha The DEFinition ikaenda kujipatia plantinamu la Dhahabu huko nchini Marekani.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

# Jina Watayarishaji Waimbaji Time
1 "Headsprung" Timbaland LL Cool J, Timbaland 4:27
2 "Rub My Back" Timbaland LL Cool J 4:43
3 "I'm About To Get Her" Teddy Riley, Eric Williams (co-producer), Marquinarius Holmes (co-producer), R. Kelly (additional vocal production) LL Cool J, R. Kelly 4:21
4 "Move Somethin'" N.O. Joe LL Cool J 3:39
5 "Hush" 7 Aurelius 7 Aurelius, LL Cool J, Paul Bushnell, Paul Graham 3:34
6 "Every Sip" Timbaland LL Cool J, Candice Nelson 4:32
7 "Shake It Baby" N.O. Joe LL Cool J 3:48
8 "Can't Explain It" Timbaland LL Cool J, Candice Nelson 4:12
9 "Feel The Beat" Timbaland LL Cool J 4:17
10 "Apple Cobbler" Timbaland LL Cool J 3:39
11 "1 In The Morning" Dame Grease LL Cool J 3:42

Chati[hariri | hariri chanzo]

AlbamuBillboard (Amerika ya Kaskazini)

Mwaka Chati Nafasi
2004 The Billboard 200 4
R&B/Hip-Hop Albums 3

Singles – Billboard (North America)

Year Single Chart Position
2004 "Headsprung" Billboard Hot 100 16
"Hush" Billboard Hot 100 26