I Can Give You More

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“I Can Give You More”
“I Can Give You More” cover
Single ya LL Cool J
kutoka katika albamu ya Radio
B-side I Can't Live Without My Radio
Imetolewa 25 Januari 1986
Muundo Vinyl Single
Imerekodiwa 1985
Aina Hip hop
Urefu 5:06
Studio Def Jam Recordings
Mtunzi James Todd Smith
Mtayarishaji Rick Rubin, LL Cool J
Mwenendo wa single za LL Cool J
I Can't Live Without My Radio
(1985)
I Can Give You More
(1986)
Rock the Bells
(1986)

I Can Give You More ni single ya pili kutoka katika albamu ya kwanza ya LL Cool J, Radio. Ilitolewa mnamo mwaka wa 1985 chini ya studio ya Def Jam Recordings na ulitungwa na kutayarishwa na Rick Rubin na LL Cool J. Wimbo ulishika nafasi ya #21 kwenye chati za Hot R&B/Hip-Hop Songs. I Can Give You More lilikuwa toleo jengine la single ya I Can't Live Without My Radio upande-B.

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

A-Side[hariri | hariri chanzo]

  1. "I Can Give You More"- 5:06
  2. "I Can Give You More" (Instrumental)- 2:33

B-Side[hariri | hariri chanzo]

  1. "I Can't Live Without My Radio"- 5:27