Nenda kwa yaliyomo

Radio (albamu)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Radio
Radio Cover
Studio album ya LL Cool J
Imetolewa 18 Novemba 1985
Imerekodiwa 1984–1985
Chung King House of Metal
(New York, New York)
Aina Hip hop
Urefu 47:04
Lebo Def Jam, Columbia
CK-40239
Mtayarishaji Rick Rubin, Jazzy Jay
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za LL Cool J
Radio
(1985)
Bigger and Deffer
(1987)
Single za kutoka katika albamu ya Radio
  1. "I Need a Beat"
    Imetolewa: 1984
  2. "I Can't Live Without My Radio"
    Imetolewa: 1985
  3. "I Can Give You More"
    Imetolewa: 1985
  4. "I Want You"
    Imetolewa: 1985
  5. "Rock the Bells"
    Imetolewa: 1985
  6. "You'll Rock"
    Imetolewa: 1985


Radio ni albamu ya kwanza ya rapa wa Kimarekani, LL Cool J. Albamu ilitolewa tar. 18 Novemba 1985 kwenye studio ya Def Jam Recordings huko nchini Marekani. Kipindi cha kurekodi albamu imechukua nafasi baina ya 1984 na 1985 katika Chung King House of Metal huko mjnii New York City. Albamu ilitayarishwa kabisa na Rick Rubin, ambaye ametoa maneno machache na staili nzima ya utayarishaji. Radio pia imewekewa mikwaruzo kadhaa ya ya DJ, zaidi iliwekewa visampuli kadhaa.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo zote zimeandikwa na James Todd Smith/Rick Rubin, kasoro zile zilizowekewa maelezo tu.

# Jina Muda Mtayarishaji Mwimbaji Maelezo
1 "I Can't Live Without My Radio" 5:28 Rick Rubin LL Cool J Appears on the Krush Groove soundtrack and contains samples from Hollis Crew by Run-D.M.C.
2 "You Can't Dance" 3:37 Rick Rubin LL Cool J Contains samples from "Apache" by Incredible Bongo Band
3 "Dear Yvette" 4:07 Rick Rubin LL Cool J
4 "I Can Give You More" 5:08 Rick Rubin LL Cool J
5 "Dangerous" 4:40 Rick Rubin LL Cool J
6 Untitled 1:18 Rick Rubin LL Cool J Hidden a cappella track; known as "El Shabazz" or "Three the Hard Way"
7 "Rock the Bells" 4:01 Rick Rubin LL Cool J Contains samples from "Pump Me Up" by Trouble Funk, "Take Me to the Mardi Gras" by Bob James, "Flick of the Switch" by AC/DC and Good Times by Chic
8 "I Need a Beat (Remix)" 4:32 Rick Rubin, Jazzy Jay LL Cool J Written by Rubin, LL, and Adrock; remixed by Jazzy Jay.
9 "That's a Lie" 4:42 Rick Rubin LL Cool J, Russell Rush Contains samples from "Owner of a Lonely Heart" by Yes
10 "You'll Rock" 4:44 Rick Rubin LL Cool J Contains samples from "Frisco Disco" by Eastside Connection
11 "I Want You" 4:51 Rick Rubin LL Cool J
Mwaka Chati
Billboard 200 Top R&B/Hip Hop Albums
1985 #46 #6
  1. Huey, Steve. Review: Radio. Allmusic. Retrieved on 2009-12-13.
  2. Christgau, Robert. "Consumer Guide: Radio". The Village Voice: 7 Januari 1986. Archived from the original on 2009-12-13.
  3. Johnson, Connie. "Review: Radio Ilihifadhiwa 24 Oktoba 2012 kwenye Wayback Machine.". Los Angeles Times: 64. 16 Februari 1986. (Transcription of original review at talk page)
  4. Columnist. "Review: Radio Ilihifadhiwa 21 Juni 2010 kwenye Wayback Machine.". Q: 134. Septemba 1995.
  5. Juon, Steve. Review: Radio. RapReviews. Retrieved on 2009-12-13.
  6. Bull, Debby. Review: Radio Ilihifadhiwa 14 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.. Rolling Stone. Retrieved on 2009-12-13.
  7. Hoard, Christian. "Review: Radio". Rolling Stone: 491–492. 1 Novemba 2004.
  8. Staff. "5 Mic Albums: Radio Ilihifadhiwa 11 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.. The Source: 1998.
  9. Marks, Craig. "Review: Radio Ilihifadhiwa 5 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.". Spin: 10 Oktoba 1995.
  10. Meyer, Frank. Review: Radio Ilihifadhiwa 17 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.. Yahoo! Music. Retrieved on 2009-12-13.
  • Brian Coleman (2007). Check The Technique. 2nd ed. Villard/Random House, New York, NY. ISBN 9780812977752.
  • Nelson George (1985). Fresh: Hip Hop Don't Stop. Random House, New York, NY. ISBN 9780394544878.
  • Kurtis Blow (1997). Kurtis Blow Presents: The History of Rap, Vol. 1 & 2. CD liner booklet. Rhino / WEA International Inc.
  • Nelson George, James Todd Smith (1990). Radio (reissue). CD liner booklet. Def Jam Recordings.
  • David Toop (2000). Rap Attack. 3rd ed. Serpent's Tail, London, UK. ISBN 9781852426279.
  • Peter Shapiro (2005). Rough Guide to Hip Hop. 2nd ed. Rough Guides, London, UK. ISBN 9781843532637.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Radio (albamu) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.