Discogs
Discogs logo.svg.png | |
---|---|
Kisara | discogs.com |
Aina ya tovuti | Muziki |
Lugha asilia | Kiingereza, Kijerumani, Kihupania, Kiitalia, Kijapani, Kifaransa |
Mmiliki | Zink Media, Inc. |
Imeanzishwa na | Novemba 2000 |
Alexa rank | ![]() |
Mapato | Matangazo (ukijisajili mtangazo yote yanaondoka), Eneo la soko ada za mwuzaji |
Discogs (ni kifupi cha discographies) ni jina la wavuti inayokusanya taarifa mbalimbali kuhusu rekodi za sauti ikiwa ni pamoja na kutoa matoleo ya kibiashara, matoleo ya kuchochea mauzo, yaani promosheni, na rekodi ambazo zimetolewa bila urasmi. Seva yake kwa sasa inatumia jina la discogs.com, ambayo inamilikiwa na kampuni ya Zink Media, Inc., na ipo mjini Portland, Oregon, Marekani. .[2][3]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Discogs.com Site Info. Alexa Internet. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-10-29. Iliwekwa mnamo 2017-12-10.
- ↑ Explore on Discogs. Discogs (25 October 2017). Iliwekwa mnamo 25 October 2017.
- ↑ Discogs Contributors. Discogs.com (15 April 2018). Iliwekwa mnamo 15 April 2018. “contributor#: 407,945”
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
- Discogs Archived 14 Machi 2016 at the Wayback Machine. wiki