Eneo bunge la Kipipiri
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kipipiri ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge matano katika Kaunti ya Nyandarua. Eneo bunge hili lina wadi nne, zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyandarua. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | James Kabingu Muregi | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1992 | Laban Muchemi | Ford Asili | |
1995 | Githiomi Mwangi | DP | Uchaguzi mdogo |
1997 | Githiomi Mwangi | DP | |
2002 | Amos Kimunya | NARC | |
2007 | Amos Kimunya | PNU |
Wadi
[hariri | hariri chanzo]Wadi | |
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa |
---|---|
Geta | 8,599 |
Kipiriri | 9,589 |
Lereshwa | 5,018 |
Malewa River | 13,911 |
Jumla | 37,117 |
Septemba 2005 | [2] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kipipiri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |