Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Githunguri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Githunguri ni moja ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya Kaunti ya Kiambu. Eneo zima la jimbo hili liko chini ya Baraza la Kaunti.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa kwa Uchaguzi Mkuu wa 1963 wakati Kenya ilipata uhuru.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Waira Kamau KANU
1969 Arthur Kinyanjui Magugu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Arthur Kinyanjui Magugu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Arthur Kinyanjui Magugu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Arthur Kinyanjui Magugu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Arthur Kinyanjui Magugu KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Josephat Karanja KANU Karanja aliaga wakati akihudumu
1994 Njehu Gatabaki Ford-Asili Uchaguzi Mdogo
1997 Njehu Gatabaki Social Democratic Party
2002 Arthur Kinyanjui Magugu Kenya African National Union
2007 Peter Njoroge Baiya Safina

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya
Watu*
Githiga 30,918
Githunguri 35,365
Ikinu 24,504
Komothai 40,073
Ngewa 24,031
Jumla x
*Hasabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili
Githiga 13,407
Githunguri 15,246
Ikinu 12,292
Komothai 19,375
Ngewa 11,464
Jumla 71,784
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]