Eneo Bunge la Mukurweini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Eneo Bunge la Mukurweini ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Wilaya ya Nyeri, Mkoa wa Kati. Eneo Bunge la Mukurweini linajumuisha taarafa ya Mukurweini katika Wilaya ya Nyeri. Eneo bunge la Mukurweini lina wadi saba,zote ambazo huwachagua madiwani katika Baraza la Mji wa Nyeri. Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1969 Mwai M. Koigi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1974 Henry Clement Wariithi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1979 Henry Clement Wariithi KANU Mfumo wa Chama kimoja
1983 Ngumbu Njururi Maiyani KANU Mfumo wa Chama kimoja.
1988 Ngumbu Njururi Maiyani KANU Mfumo wa Chama kimoja.
1992 David Muhika Mutahi Democratic Party
1997 David Muhika Mutahi Democratic Party
2002 Mutahi Kagwe NARC
2007 Kabando wa Kabando Safina

Wadi[hariri | hariri chanzo]

'
Wadi Wapiga kura waliosajiliwa
Gakindu 7,828
Giathugu 8,388
Gikondi 6,330
Githi 6,502
Muhito 9,463
Rutune 4,717
Thanu 3,589
Total 46,817
*Septemba 2005 | [2],[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Wilaya ya Nyeri Kigezo:Maeneo Bunge katika Mkoa wa Kati (Kenya)