Eneo bunge la Kieni
Mandhari
(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Kieni)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo Bunge la Kieni ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Joel Muruthi Muriithi | KANU | Mfumo wa chama kimoja. |
1992 | David Munene Kairu | Democratic Party | |
1997 | David Munene Kairu | Democratic Party | Kairu alifariki mwaka wa 1998, na kusababisha uchaguzi mdogo. |
1998 | Chris Murungaru | Democratic Party | uchaguzi mdogo |
2002 | Chris Murungaru | NARC | |
2007 | Namesyus Warugongo | PNU |
Wadi
[hariri | hariri chanzo]Wadi | ||
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | mamlaka ya Mtaa |
---|---|---|
Endarasha | 7,913 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Gakawa | 7,201 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Gatarakwa | 7,813 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Kiamathaga | 4,622 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Mugunda | 6,547 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Mweiga | 12,695 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Naro Moru | 9,166 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Ngonde | 2,700 | Manispaa ya Nyeri |
Thegu River | 11,540 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Jumla | 70,197 | |
*Septemba 2005 | [2] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kieni kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |