Elia Speleota
Mandhari
Elia Speleota (Reggio Calabria, Italia Kusini, 863 hivi - Reggio Calabria, 11 Septemba 960 hivi) alikuwa Mkristo wa Mashariki aliyekimbia familia yake tajiri ili asilazimishwe kuoa.
Baada ya kufanya toba huko Sicilia, karibu na Roma akawa mmonaki wa Kibazili. Baada ya kwenda Ugiriki alirudi tena kwao kuishi pangoni pamoja na wenzake wachache. Hivyo alishika maisha ya ukaapweke na ya kijumuia vilevile [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Septemba[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- La Nobiltà reggina antica e moderna fino al 1758 (Luigi Manzi): famiglia Laboccetta
- Paolo Martino, S. Elia Speleota e il santuario delle Grotte presso Melicuccà, Edizioni Officina Grafica, Villa San Giovanni, 2000, pp.127.
- Giuseppe Antonio Martino, Il cenobio italo-greco di S. Elia Speleota a Melicuccà, in "Helios Magazine", Rivista di scienze, cultura e società, anno IV – 1999- nr.
- Vera Falkenhausen, ELIA lo Speleota, santo, in Dizionario biografico degli italiani, vol. 42, Roma, Istituto dell'Enciclopedia Italiana, 1993.
- Francesco Stilo, La grotta eremitica di S. Elia lo Speleota, in Bertocci S, Parrinello S., Architettura eremitica, sistemi progettuali e paesaggi culturali, atti del V convegno internazionale di studi, Edifir Edizioni, Firenze, 2020, pp. 41-45.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- http://digilander.libero.it/galatrorc/g_calabria/melicucc_grotta_santelia_speleota.htm Pango la Mt. Elia Speleota
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |