Siafu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Dorylus)
Siafu
Askari ya siafu
Askari ya siafu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Arthropodi (Wanyama wenye miguu yenye viungo)
Nusufaila: Hexapoda (Wanyama wenye miguu sita)
Ngeli: Insecta (Wadudu)
Nusungeli: Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
Oda: Hymenoptera (Wadudu wenye mabavu angavu)
Nusuoda: Apocrita (Hymenoptera wenye kiuno chembamba sana)
Familia ya juu: Formicoidea (Hymenoptera kama siafu)
Familia: Formicidae (Sisimizi)
Nusufamilia: Dorylinae
Jenasi: Dorylus
Fabricius, 1793
Ngazi za chini

Spishi 61:

Siafu ni spishi za sisimizi za jenasi Dorylus katika familia Formicidae ya oda Hymenoptera. Wanapotafuta chakula au kuhama, huenda kwa safu ndefu kama jeshi, kwa hiyo mojawapo ya majina ya Kiingereza "army ants". Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara tu.

Kama sisimizi wote husaidiana katika kazi mbalimbali kama vile ulinzi, usafi, kutafuta chakula na kazi nyingine.[1]

Siafu hutambuana kwa kugusana vichwa kama ilivyo jamii ya sisimizi wote.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. National Geographic (2011-05-10). Ants. National Geographic | Animals. Iliwekwa mnamo 2019-06-17.
Makala hii kuhusu mdudu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siafu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.