Chris Oyakhilome

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Chris Oyakhilome (anajulikana kimaarufu kama "Mchungaji Chris") ni "televangelist" na rais mwanzilishi wa Believers' LoveWorld Incorporated ama "Christ Embassy", ambalo ni shirika la Kikristo makao yake makuu yakiwa mjini Lagos, Nigeria

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mchungaji Chris alilelewa katika nyumba ya kikristo, aliokoka katika umri wa miaka 9 na akaanzisha huduma yake kwa wakristo kama kijana Chuo kikuu cha Bendel State (sasa "Chuo kikuu cha Ambrose Alli") alipo somea ujenzi.

Ameo Mchungaji Anita Oyakhilome, Mkurugenzi wa ofisi ya kimataifa ya Christ Embassy ambaye pia huwaq mchungaji katika makanisa ya Christ Embassy huko Uingereza, ikiwa ni pamoja na sura yake mwenyewe, Embassy Docklands, katika North Woolwich, London.[onesha uthibitisho]. Yeye ni Mkurugenzi-mshiriki wa "Loveworld Christian Network"

Huduma na Uponyaji[hariri | hariri chanzo]

Mchungaji Chris Oyakhilome ni mwandishi wa vitabu kadhaa vilivyonunuliwa kwa wingi moja yao ikiwa "Rhapdsody of Realities" www.rhapsodyofrealities.org ambayo ameandika pamoja na mkewe, Mchungaji Anita. Mafundisho yake zinapatikana pia katika aina ya sauti na vidio. Kitabu chake "How to receive your miracle and retain it?" ambayo inaonyesha maisha ya Mkristo, mamlaka yake kama muumini na mali yote katika ufalme wa Mungu kuwa ni ya kila muumini.

Mbali na kuongoza mtandao wa makanisa ya Christ Embasy na maumini ya katika mabara yote matano, Mchungaji Chris pia huwa mchungaji kati shirika kubwa katika Afrika. Yeye husimamia mafundisho na uponyaji mkubwa na makutano ya zaidi ya milioni 3.5 katika tukio la usiku moja.

Mwaka 2003,alianzisha mtanda wa kwanza wa kikristo barani Afrika kwa dunia mzima na ulijulikana kama LoveWorld Christian Network. Yeye pia ni mwenyeji wa mpango wa programu ya televisheni iitwayo "Atmosphere for Miracles", ambayo ni huwa kuhusu uponyaji ya magonjwa ya kimwili na kiroho na hutangazwa katika mitandao ya matelevisheni kubwa duniani kote.

Mchungaji Chris Oyakhilome pia ana Shuleya Uponyaji kama sehemu ya huduma yake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]