Byzacena
Mandhari
Byzacena (au Byzacium; kwa Kigiriki: Βυζάκιον bizakion) [1] lilikuwa jimbo la Kiroma kwenye karne za mwisho wa Dola la Roma katika Afrika Kaskazini. Kwa asili lilikuwa sehemu ya Afrika ya Kiroma iliyogawiwa na Kaizari Diokletian mnamo mwaka 293; Byzacea ililingana takriban na Tunisia ya kusini mashariki ya leo.
Makao makuu ya jimbo jilo jipya yalipelekwa kwenye mji wa Hadrumetum (Sousse ya leo). Katika kipindi hicho, jimbo la Kanisa la Byzacena lilikuwa katika nafasi ya tatu kwa umuhimu katika Afrika baada ya Patriarki wa Aleksandria (Misri) na askofu mkuu wa Karthago.
Majimbo ya Kanisa huko Byzacena
[hariri | hariri chanzo]Majimbo ya kale ya Byzacena yanaorodheshwa katika Annuario Pontificio kama ifuatavyo[2]:
- Abaradira
- Abari
- Abidda (magofu ya Ksour-Abbeda)
- Acholla (Henchir-El-Alia)
- Aeliae (Henchir-Mraba? Henchir-Merelma)
- Africa (Mahdia)
- Afufenia
- Aggar
- Aggersel (Abd-Er-Rahman-El-Garis? Tacrouna?)
- Ammaedara (Haïdra)
- Amudarsa (katika mazingira ya Saïda)
- Ancusa
- Aquae Albae in Byzacena (wilaya ya Gabès )
- Aquae in Byzacena (wilaya ya Gabès)
- Aquae Regiae (Henchir-Baboucha?)
- Aurusuliana (katika mazingira ya Henchir-Guennara)
- Ausafa
- Autenti
- Auzegera
- Bahanna (Henchir-Nebahna, magofu ya Dhorbania?)
- Bararus (Henchir-Ronga, Rougga)
- Bassiana
- Bavagaliana
- Bennefa (Oglet-Khefifa)
- Bladia (Henchir-Baldia?)
- Buleliana
- Cabarasussi (Drâa-Bellouan)
- Carcabia
- Cariana
- Cebarades
- Cenculiana
- Cercina (visiwa vya Kerkennah)
- Cibaliana
- Cillium alias Colonia Cillilana (Kasserine)
- Crepedula
- Cufruta
- Chusira (Kessera)
- Decoriana
- Dices (Henchir-Sidi-Salah, Sadic?)
- Dionysiana
- Drua (Henchir-Bou-Driès)
- Dura
- Edistiana
- Egnatia
- Febiana
- Feradi Maius (Henchir-El-Ferada?)
- Feradi Minus
- Filaca
- Fissiana (katika mazingira ya Foussana?)
- Foratiana
- Forontoniana (Henchir-Bir-El-Menadka?)
- Gaguari
- Garriana (Henchir-El-Garra)
- Gemellae in Byzacena (Sidi-Aïch)
- Germaniciana (magofu ya Ksour-El-Maïeta? Melloul? magofu ya Hadjeh-El-Aïoun?)
- Gratiana
- Gubaliana (magofu ya Djebeliana? magofu ya Henchir-Goubel?)
- Gummi in Byzacena (Henchir-Gelama?, Henchir-El-Senem)
- Gurza (Kalâa Kebira)
- Hadrumetum (Sousse), mji wa Askofu Mkuu
- Hermiana
- Hierpiniana
- Hirina
- Horrea Coelia (Hergla)
- Iubaltiana (huko Kairouan)
- Iunca in Byzacena (Ounga)
- Leptiminus
- Limisa (Henchir-Boudja)
- Macon
- Macriana Maior
- Macriana Minor
- Mactaris
- Madarsuma (Henchir-Bou-Doukhane?)
- Maraguia (magofu ya Ksar-Margui?)
- Marazanae (Henchir-Guennara)
- Marazanae Regiae
- Masclianae (magofu ya Hadjeb-El-Aioun?)
- Materiana
- Maximiana in Byzacena (karibu na Sousse)
- Mediana
- Menefessi (Henchir-Djemmiah)
- Mibiarca
- Midica (karibu na Sfax)
- Mididi (Henchir-Medded, Midid)
- Mimiana
- Mozotcori
- Munatiana
- Mutia (Henchir-El-Gheria, Henchir-Furna)
- Muzuca in Byzacena (Henchir-Besra)
- Nara (Bir El Hafey)
- Nationa
- Nepte (Nafta)
- Octaba
- Octabia
- Pederodiana (Oum-Federa, Fodra?)
- Precausa
- Praesidium (Somâa)
- Putia in Byzacena (Bir-Abdallah?)
- Quaestoriana
- Rufiniana
- Ruspae
- Rusticiana
- Sassura (Henchir Es-Zaouadi)
- Scebatiana
- Segermes
- Selendeta
- Septimunicia (magofu ya Oglet-El-Metnem? Henchir-El-Bliaa?)
- Severiana
- Sufes
- Sufetula
- Suliana
- Sullectum (Salacia)
- Tabalta (Henchir-Gourghebi?)
- Tagarbala (Bordj-Tamra, Tamera)
- Tagaria
- Tagase
- Talaptula
- Tamalluma (Oasisi ya Telmin)
- Tamata
- Tamazeni
- Tambeae (katika mazingira ya Aïn-Beida na Henchir-Baboucha)
- Tanudaia
- Taparura
- Taraqua (Ksour-El-Khaoua?)
- Tarasa in Byzacena (karibu na Djebel-Trozza?)
- Temuniana (Henchir-Temounia?)
- Tetci
- Thagamuta (katika mazingira ya Guemouda?)
- Thala
- Thapsus
- Thasbalta (katika bonde la Segui?)
- Thelepte
- Thenae (Thyna)
- Theuzi
- Thiges (Bordj-Gourbata)
- Thucca Terenbenthina (Henchir Dougga)
- Thysdrus
- Tigias (Henchir-Taus, katika oasisi ya Kriz)
- Tiguala
- Trofimiana
- Tubulbaca (Teboulba?)
- Turrisblanda
- Turres in Byzacena (magofu ya Tamarza? magofu ya Msilica?)
- Turris Tamalleni (magofu ya Oum-Es-Samâa)
- Tusuros
- Unizibira (Henchir-Zembra?)
- Usula
- Uzita
- Valentiniana
- Vartana (Srâa-Ouartane)
- Vassinassa
- Vegesela in Byzacena (Henchir-Recba)
- Vibiana
- Vicus Aterii (Bir el Ater)
- Victoriana
- Vicus Augusti (magofu ya Sidi El Hani, Henchir-Sabra?)
- Vita (magofu ya Beni-Derraj?)
- Zella (Zaouila, eneo la Mahdia? magofu ya Zellez?)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Procopius, History of the Wars, §4.12
- ↑ Annuario Pontificio 2013 (Libreria Editrice Vaticana, 2013, ISBN 978-88-209-9070-1), "Sedi titolari", pp. 819-1013