Nenda kwa yaliyomo

Henchir-Bou-Doukhane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sfax huko Tunisia

Henchir Bou Doukhane ni kijiji katika Mkoa wa Sfax, Tunisia ya Mashariki.

Henchir Bou Doukhane iko karibu na miji ya Hamadet el Adghame, Hamadet ed Dokhane na Khecherma ambayo yote iko kaskazini mwa Sfax. [1] Henchir ed Doukhane uko mita 89 juu ya usawa wa bahari.

Eneo hilo lina kilimo kikubwa, na magofu ya kale ya karibu yamejulikana kama mji wa enzi ya Warumi wa Madarsuma. [2]

  1. Henchir ed Doukhane at mapscarta.com.
  2. Entry at www.catholic-hierarchy.org
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Henchir-Bou-Doukhane kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.