Iubaltiana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya Tunisia.

Iubaltiana ulikuwa mji katika mkoa wa Africa Proconsularis (zamani ikiitwa Byzacena) ambapo mji umejulikana kwa magofu karibu na eneo la Kairouan katika Tunisia [1].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iubaltiana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.