Bugorora
Jump to navigation
Jump to search
Kata ya Bugorora | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kagera |
Wilaya | Wilaya ya Missenyi |
Idadi ya wakazi | |
- | 6,905 |
Bugorora ni kata ya Wilaya ya Missenyi katika Mkoa wa Kagera, Tanzania yenye postikodi namba 35311 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,905 waishio humo.[2]
Kata ina vijiji kama Kagarama, Mitaro, Ibalayangwe, Kagezi, Kabingo, Nkenge, Kyabugombe na Buchurago na ina shule ya sekondari inayoitwa Nkenge ambayo inachukua jina la jimbo la Nkenge.
Soko la kata hiyo ni kila Jumanne Bugorora mjini.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01.
- ↑ Sensa ya 2012, Kagera - Missenyi District Council
![]() |
Kata za Wilaya ya Missenyi - Mkoa wa Kagera - Tanzania | ![]() |
---|---|---|
Bugika | Bugorora | Buyango | Bwanjai | Gera | Ishozi | Ishunju | Kakunyu | Kanyigo | Kashenye | Kassambya | Kilimilile | Kitobo | Kyaka | Mabale | Minziro | Mushasha | Mutukula | Nsunga | Ruzinga |
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bugorora kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |