Ngara
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Ngara (kijani) katika mkoa wa Kagera.
Wilaya ya Ngara ni wilaya moja ya Mkoa wa Kagera. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 334,939 [1].
Marejeo [hariri]
| Kata za Wilaya ya Ngara - Mkoa wa Kagera - Tanzania | ||
|---|---|---|
|
Bugarama | Bukiriro | Kabanga | Kanazi | Keza | Kibimba | Kirushya | Mabawe | Muganza (Ngara) | Mugoma | Murusagamba | Ngara Mjini | Ntobeye | Nyakisasa | Nyamiyaga | Rulenge | Rusumo |
||
| Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ngara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |