Mabawe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Mabawe ni kata ya Wilaya ya Ngara katika Mkoa wa Kagera, Tanzania, yenye postikodi namba 35708 [1]. Kata ya Mabawe inapakana na nchi jirani ya Burundi.

Kata ya Mabawe inaundwa na vijiji vya Mukaliza, Murugina, Murugalama, Muhweza na Kumwuzuza.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 12,826 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 12,823 waishio humo.[3]

Kituo cha Afya Mabawe ni miongoni mwa vituo vya afya vikongwe wilayani Ngara.

Mabawe ni kata inayosifika kwa kuwa na wasomi wengi ikilinganishwa na kata nyingine.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-05. Iliwekwa mnamo 2018-02-01. 
  2. https://www.nbs.go.tz, uk 175
  3. Sensa ya 2012, Kagera - Ngara-District-Council
Kata za Wilaya ya Ngara - Mkoa wa Kagera - Tanzania

Bugarama | Bukiriro | Kabanga | Kanazi | Kasulo | Keza | Kibimba | Kibogora | Kirushya | Mabawe | Mbuba | Muganza | Mugoma | Murukurazo | Murusagamba | Ngara Mjini | Ntobeye | Nyakisasa | Nyamagoma | Nyamiaga | Rulenge | Rusumo


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kagera bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mabawe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.