Kihangaza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kihangaza ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wahangaza. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kihangaza imehesabiwa kuwa watu 150,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihangaza iko katika kundi la D60.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihangaza kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.