Ch

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alfabeti ya Kilatini
Aa Bb Cc ch Dd
Ee Ff Gg Hh Ii Jj
Kk Ll Mm Nn Oo Pp
Qq Rr Ss Tt Uu Vv
Ww Xx Yy Zz

Ch ni alama ya tatu katika alfabeti ya Kiswahili cha kisasa inayofuata menginevyo utaratibu wa alfabeti ya Kilatini.

Ch ni maungano ya herufi mbili za Kilatini ambazo hutazamiwa kama herufi moja katika mwandiko wa Kiswahili. Kilatini chenyewe hakijui umoja huu lakini ni kawaida pia katika lugha mbalimbali

kama sauti ya "tsh"

kama sauti ya (kh)

Kifupi cha CH kwa magari ni alama ya gari kutoka Uswisi (Confoederatio Helvetica)